• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwizeyimana macho yote kutetea taji la ubingwa wa Taifa mwezi Juni.

    (GMT+08:00) 2017-05-23 08:27:56

    Baada ya kushinda mashindano yake ya kwanza ya mbio za baiskeli jumamosi iliyopita nchini Rwanda, Bonaventure Uwizeyimana sasa macho yake yanaangalia kutetea taji la ubingwa wa taifa yatakayofanyika mwezi ujao.

    Mashindano ya baiskeli Taifa yanatarajiwa kuanza Juni 24 kwa siku mbili yataanza wilayani Bugesera na siku ya pili yataanzia mji wa Muhanga kuelekea Kigali.

    Uwizeyimana alishinda mashindano hayo mwaka jana mashindano kutoka Kigali hadi Huye baada kutumia saa 2, dakika 53 na sekunde 17.

    Mchezo huu wa baiskeli umempoteza bingwa wa kuendesha baiskeli wa dunia raia wa Marekani Nicky Hadyen ameaga dunia baada ya kugongwa na gari akiwa anaendesha baiskeli nchini Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako