• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaandaa "mpango wa China" kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Paris

    (GMT+08:00) 2017-05-23 09:15:03

    Mjumbe maalumu wa China anayeshughulikia masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa Bw. Xie Zhenhua amesema China inaandaa "mpango wa China" kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Paris, na pia amesisitiza nia thabiti ya China ya kusukuma mbele mchakato wa usimamizi wa hali ya hewa duniani. Bw. Xie amesema hayo alipohudhuria mkutano usio rasmi wa mawaziri wa Mazungumzo ya hali ya hewa ya Petersburg ulioandaliwa na serikali ya Ujerumani. Amesema mpango wa China unalenga kuonesha kanuni ya wajibu wa pamoja na majukumu tofauti kulingana na uwezo wa kila nchi kwenye utekelezaji wa makubaliano ya Paris.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako