• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari watano wauawa katika shambulizi la mabomu Somalia

    (GMT+08:00) 2017-05-23 09:15:59

    Shambulizi la mabomu yaliyotengwa kando ya barabara lililotokea jana mjini Baidoa, kusini mwa Somalia limesababisha vifo vya wanajeshi watano wa serikali. Kundi la Al-Shabaab limetangaza kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako