• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel yaamua kuchukua hatua zinazosaidia maendeleo ya uchumi wa Palestina

    (GMT+08:00) 2017-05-23 09:16:25

    Baraza la usalama la Israel limepitisha uamuzi wa kutekeleza hatua zinazosaidia maendeleo ya uchumi wa Palestina, zikiwemo kuwapa idhini zaidi kwa wapalestina kujenga nyumba kando ya magharibi ya mto Jordan, kupanua maeneo mawili ya viwanda yaliyoko kaskazini mwa kando ya magharibi, kulegeza udhibiti dhidi ya wafanyakazi wa Palestina wanaoingia Israel, na kufungua kabisa forodha kati ya kando ya Magharibi na Jordan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako