• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Russia zajadili suala la peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-05-23 09:17:13

    Msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Kong Xuanyou na naibu waziri wa mambo ya nje wa Russia Igor Morgulov jana walifanya mazungumzo huko Moscow kuhusu suala la peninsula ya Korea. China na Russia zinafuatilia sana hali ya wasiwasi ya Peninsula ya Korea, viongozi hao wanaona ni muhimu, kushikilia kulinda amani na utulivu wa peninsula hiyo, na kutatua suala hilo kwa njia ya mazungumzo. Pande hizo mbili zimetoa mwito kwa pande mbalimbali kufanya juhudi kupunguza hali ya wasiwasi ya kanda hiyo na kuanzisha tena mazungumzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako