• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNICEF yatafuta dola milioni 148 za kimarekani kusaidia wanawake na watoto nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2017-05-23 18:54:48

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF unetoa ombi la dola za kimarekani milioni 147.9 ili kusaidia kuwahudumia wanawake na watoto kuepuka baa la njaa nchini Somalia.

    Katika ripoti yake ya hali ilivyo nchini Somalia iliyotolewa leo, UNICEF imesema makisio ya idadi ya watoto ambao wanakabiliwa na utapiamlo mkali au wako kwenye hatari ya kukabiliwa na hali hiyo imeongezeka kwa asilimia 50 tangu mwanzo wa mwaka huu na kufikia milioni 1.4. Shirika hilo limekadiria kuwa, karibu watoto milioni 4 wanahitaji msaada wa dharura wa kibinadamu nchini Somalia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako