• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia Airline yaanzisha safari za ndege za Chengdu

    (GMT+08:00) 2017-05-23 18:55:46
    Kampuni ya ndege ya Ethiopian Ailines imeanzisha rasmi safari za ndege za moja kwa moja kutoka Addis Ababa hadi Chengdu Uchina.

    Safari hizo zitafanyika mara mbili kwa wiki siku ya Jumanne na Jumamosi ikiwa ni mpango wa kuimarisha ushirikiano wa biashara baina ya nchi hizi mbili.

    Mbali na safari za Chengdu Ethiopian Airline inahudumu safari za abiria na mizigo katika miji ya Beijing ,Shanghai,Guangzhou na Hong Kong.

    Ethiopia inalenga aidha safari hiyo itaongeza idadi ya watalii kutoka China.

    Kampuni ya Ethiopian Airlines inaongoza kwa huduma bora barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako