• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza kueneza uzoefu ili kuhimiza mageuzi

    (GMT+08:00) 2017-05-23 20:51:03

    Rais Xi Jinping wa China leo alasiri hapa Beijing ameendesha mkutano wa 35 wa kikundi cha uongozi cha kuimarisha mageuzi cha Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China. Rais Xi amesisitiza kuwa ni muhimu kufanya mageuzi kwenye vituo vya majaribio, na kukitaka kikundi hicho kifanye majaribo na kueneza uzoefu ili kuhimiza mageuzi nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako