• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya mafuta yaendelea kupanda kabla ya mkutano wa OPEC

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:07:37

    Bei ya mafuta imeendelea kupanda kabla ya mkutano wa Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta OPEC unaotarajiwa kufanyika kesho huko Vienna, na kuwakutanisha wajumbe wa nchi zinazozalisha mafuta, ikiwemo Russia, ambao watajadili na kuamua kama watarefusha makubaliano ya kupunguza uzalishaji wa mafuta yaliyofikiwa Desemba mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako