• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanaviwanda wa Afrika Mashariki watoa mwito wa kuongeza uwekezaji kwenye uzalishaji wa umeme

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:22:16

    Wanaviwanda wa nchi za Afrika Mashariki wametoa mwito wa kuongeza uwekezaji kwenye uzalishaji wa umeme ili kuwa na msingi wenye nguvu wa uzalishaji wenye ongezeko la thamani.

    Wakiongea mjini Kigali kwenye mkutano wa siku tatu wa wafanyabiashara na wanaviwanda EAMBS, wamesema uwekezaji mkubwa kwenye sekta za umma na sekta binafsi unaweza kuongeza uwezo wa uzalishaji kwa viwanda vya nchi za Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako