• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waliowauwa wataalamu wa MONUSCO nchini DRC watambuliwa

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:22:36

    Mahakama ya kijeshi nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, imetangaza kukomesha uchunguzi uliokuwa ukifanyika kuhusiana na mauaji ya watalaamu wawili wa umoja wa mataifa waliouawa mwezi Machi huko Kasai ya kati. Mahakama hiyo imesema tayari wanafahamu ni nani aliyehusika na mauaji hayo, baada ya mmoja wa watuhumiwa aliyekamatwa kukiri na kuwataja wenzake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako