• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Harambee Stars kukutana na Angola mwezi Juni

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:26:51

    Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itachuana na Angola katika mechi ya nne ya kirafiki ya kimataifa mwaka huu Juni 4 mwka huu mjini Machakos. Stars itatumia mechi hii kujinoa kwa mashindano ya kuwania kombe la taifa bingwa Barani Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani yatakayoandaliwa humu nchini mwaka ujao. Kenya itachuana na Sierra Leone katika mechi ya ufunguzi ya kufuzu kwa kombe la mashindano ya taifa bingwa Barani Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani tarehe 10 mwezi Juni, mwaka huu. Aidha, Harambee Stars ilipata ushindi wake wa kwanza mwaka huu kwa kuishinda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mabao 2-1 mjini Machakos.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako