• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Steve Wiljler ashinda medali ya dhahabu katika ubingwa wa kurusha mishale Shanghai China

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:27:37

    Mrusha mikuki raia wa Uholanzi Steve Wijler amefanikiwa kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya dunia ya kurusha mikuki ya Hyundai mjini Shanghai China.

    Steve mwenye umri wa miaka 20 alifanikiwa kushinda katika mizunguko yote na kumfunga bingwa wa dunia wa kurusha mikuki Kim Woojin katika hatua ya kwanza.

    Ameshinda kwa pointi 29 dhidi ya mpinzani wake Woojin aliyepata pointi 26.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako