• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EUFA EUROPA LIGI: Leo ndio Fainali Ajax inakumbana na Man United

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:29:09
    Kwenye dimba la Friends Arena mjini Stockholm Sweden, fainali ya ligi ya Ulaya ya UEFA kati ya timu ya Ajax ya Uholanzi na Manchester United ya Uingereza. Mbali ya kuwania kombe, lakini pia mshindi wa fainali hii atatinga moja kwa moja hatua ya makundi ya UEFA Champions Ligi.

    Ajax watakuwa na shauku ya kuwania kutwaa kombe la ulaya kwa mara ya kwanza baada ya miaka 22 wakati Manchetser United wakilitaka kombe pekee la ulaya ambalo hawajawahi kulitwaa baada ya kutwaa mengine yote yalliyobakia.

    Hii itakuwa ni mara ya 5 kwa timu hizi kukutana kwenye mashindano barani ulaya na kila timu kushinda mara 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako