• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda ilitengewa dola milioni 168 kwa ajili ya mageuzi ya vijijini kupitia kilimo

    (GMT+08:00) 2017-05-24 19:55:09

    Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) jana ulitangaza kuwa Uganda ilitengewa dola milioni 168 kwa ajili ya mageuzi ya vijijini kupitia kilimo.

    Fedha hizo ni kuwezesha wakulima vijijini kupata mikopo ya muda mrefu kwa ajili ya kufanya kilimo.

    Nchini Uganda, mradi huu unatekelezwa na wizara ya Fedha na ilianza kutumika mwezi Novemba 2014.

    wakulima wa Uganda na jamii nyingine za biashara mara nyingi wanakabiliwa na tatizo la kukosekana kwa fedha ya muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako