• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mauzo ya nje ya Chai Kenya imeshuka kwa asilimia 17 mwezi Machi.

    (GMT+08:00) 2017-05-24 20:14:31

    Mauzo ya nje ya chai Kenya imeshuka kwa asilimia 17 mwaka Machi ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

    Takwimu kutoka bodi ya chai inaonyesha kuwa jumla ya mauzo ya nje ya mwezi Machi ilifikia kilo milioni 35.04 ikilinganishwa na milioni 42.31iliyorekodiwa katika kipindi kama hicho

    Mwezi Machi, Chai ya Kenya ilitumwa katika nchi 41, kilinganishwa na 42 mwaka 2016, Pakistan akiwa mnunuzi mkubwa.

    Bei ya mnada ya chai mwezi Machi ilikuwa Sh292 kwa kilo, ikilinganishwa na Sh230 Machi 2016.

    Kuboreshwa kwa bei kulichangiwa na mahitaji makubwa wakati wa baridi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako