• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia wawili wa China watekwa nyara nchini Pakistan

    (GMT+08:00) 2017-05-25 08:47:52

    Ubalozi wa China nchini Pakistan umethibitisha kuwa raia wawili wa China wametekwa nyara kwenye eneo la Quetta mkoani Baluchistan, kusini magharibi mwa Pakistan, na watekaji bado hawajatambuliwa. Ubalozi huo umeitaka Pakistan ifanye juhudi kuwaokoa mateka hao. Hivi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako