• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Juan Martin del Potro na Simona Halep wana hatihati ya kushiriki michuano ya wazi ya Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-05-25 09:34:47

    Wacheza tenesi nyota Muagentina Juan Martin del Potro, na Mromania Simona Halep, huenda wakashindwa kushiriki michuano ya wazi ya Ufaransa itakayoanza jumapili ijayo ya May 28.

    Juan Martin del Potro, mwenye umri wa miaka 30 anasumbuliwa na tatizo la bega na mgongo hivyo huenda akakosa kushiriki michuano hiyo mikubwa ya mchezo wa tensi duniani. Naye mchezaji namba nne kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Simona Halep ana asilimia hamsini kwa hamsini kushiriki michezo hiyo.

    Halep anasumbuliwa na kifundo cha mguu alichoumia katika michuano ya wazi ya Italia

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako