• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya ujenzi ya Misri kuanza oparesheni nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-05-25 18:49:34

    Kampuni moja ya ujenzi kutoka Misri inatarajia kuanza oparesheni zake nchini Kenya baadaye mwezi desemba mwaka huu.

    Kampuni hiyo Arab Contractors (ACC) ni mojawepo wa zile zinazoongoza kwenye sekta ya ujenzi kwenye kanda ya mashariki ya Kati.

    Mwakilishi wa kampuni hiyo mjini Nairobi Ahmed Saber, amesema ACC inapanga kupata mgao wa soko kubwa la ujenzi wa nyumba na barabaraba na kujinufaisha NA fusra zilizopo.

    Ripoti za kifedha kwenye tuvuti ya kampuni hiyo zinaonyesha kwamba ilipata dola bilioni 3.2 kufikia januri 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako