• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda na benki ya India ya Exim zasaini makubaliano ya dola milioni 81

    (GMT+08:00) 2017-05-25 18:50:04

    Serikali ya Rwanda na benki ya India ya Export-Import (Exim) zimesaini makubaliano ya ufadhili ambako benki hiyo itatoa dola milioni 81 za kusaidia utoaji wa mafunzo.

    Fedha hizo zitatumika kujenga vituo vya kisasa vywenye vifaa ili vijana watumie kwa ubinifu na utoaji wa mafunzoya uzalishaji bidhaa.

    Makubaliano hayo yanasaidia juhudi za serikali za kusaidia ukuaji wa uchumi kwa kuimarisha uwezo wa kiufundi.

    Waziri wa fedha na mipango ya kiuchumi Claver Gatete, amesema mafunzo ya kiufundi pia yatasaidia kupunguza ukosefu wa kazi na umaskini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako