• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Zaidi ya madaktari 1,500 wa Uganda kufanya kazi ndhini Libya

    (GMT+08:00) 2017-05-25 18:52:29

    Zaidi ya madaktari 1,500 wa Uganda wanatarajiwa kuanza leo kufanya kazi ndhini Libya.

    Mipango imekamilika na sasa wataalama wa matitabu kutoka nchini humo wataanza kusafiri hadi Libya hii ikiwa ni njia moja ya serikali ya kupambana na ukosefu wa ajira.

    Kulingana na mpango uliopo madaktari 300, manesi 600 na wataalam 600 wanahitajika.

    Kwa sasa Uganda inapata dola bilioni 1.1 kwa mwaka kutoka kwa wafanyakazi wake walioko maeneo mbalimbali duniani.

    Waziri wa kazi na maendeleo ya kijamii Janat Mukwaya ametaja hatua hiyo kuwa zuri na kuwataka wale waliohitimu kujitokeza ili kusajiliwa na kwenda kufanya kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako