• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Steve Cook atia saini mkataba mpya na Bournemouth

    (GMT+08:00) 2017-05-26 09:17:52

    Mlinzi wa klabu ya Bournemouth Steve Cook ametia saini mkataba mpya wa miaka minne na timu hiyo. Mlinzi huyo wa kati amecheza michezo yote ya msimu huu wa ligi.

    Cook alisema huo ni mpango wa zamani kuendelea kubaki kwenye klabu hiyo na kupatiwa nafasi ya kufanya hivyo kwake yeye ni jambo la kufurahisha.

    Cook amecheza klabuni hapo mara 231 tangu aingie Bournemouth akitokea Brighton katika msimu wa joto mwaka 2011.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako