• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ajibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu taarifa ya pamoja ya Mkutano wa kundi la nchi saba

    (GMT+08:00) 2017-05-28 19:10:54

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo amejibu maswali kuhusu bahari ya Mashariki na ya Kusini yaliyohusishwa katika taarifa ya pamoja iliyotolewa katika Mkutano wa viongozi wa kundi la nchi saba (G7).

    Bw. Lu Kang amesema, China inatumaini kundi la nchi saba na nchi nyingine kutambua wazi hali inayohusia, kutimiza ahadi zao za kutopendelea upande wowote katika masuala yenye mikwaruzano, kuheshimu vya kutosha juhudi za nchi zinazohusika, kusimamisha kutoa kauli yoyote isiyowajibika ili kufanya juhudi za kiujenzi kwa ajili ya amani na utulivu katika kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako