• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 146 wafariki baada ya mafuriko na maporomoko ya udongo kuikumba Sri Lanka

    (GMT+08:00) 2017-05-29 09:06:50

    Mamlaka ya usimamizi wa maafa nchini Sri Lanka imesema mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini humo yamesababisha vifo vya watu 146, watu 100 hawajulikani walipo na wengine zaidi ya milioni moja wameathiriwa. Hivi sasa majeshi, polisi na vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya uokoaji kwenye maeneo yaliyoathiriwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako