• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Wauzaji watakao patikana wakiuuza kilo mbili ya pakiti ya unga wa mahindi juu ya sh 90 walipa faini ya sh milioni 1 au Miaka mitano Jela.

    (GMT+08:00) 2017-05-29 20:01:27
    Wauzaji watakao patikana wakiuuza kilo mbili ya pakiti ya unga wa mahindi juu ya sh 90 wako hatarani ya kulipa faini ya sh milioni 1 au Miaka mitano Jela.

    Serikali mnamo mwezi Mei 16 ilitangaza ruzuku ya Sh bilioni 6 kwa waagizaji mahindi kusaidia kupunguza gharama ya unga, ambayo ilikuwa imepanda kutokana na ukame wa kikanda.

    Bei ya mfuko wa 90kg ya mahindi hivi sasa ni sh 2,300 kutoka sh4,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako