• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: maafisa wa Uganda wanakuna vichwa vyao, jinsi ya kuongeza fedha ya nchi hadi dola bilioni 3.5. kwa ajili ya ujenzi wa bomba la mafuta

    (GMT+08:00) 2017-05-29 20:02:13

    siku chache tu baada ya kutia saini na serikali ya Tanzania mkataba kwa ajili ya ujenzi wa bomba la mafuta, maafisa wa Uganda wanakuna vichwa vyao jinsi ya kuongeza fedha ya nchi hadi dola bilioni 3.5.

    Kampala imeweka macho yake kwenye wakopeshaji wa kimataifa ikiendelea kufanya kazi na Tanzania ili kuchangia asilimia 70 ya gharama za ujenzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako