• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu: Mashindano ya Ligi ya NBA Afrika kupigwa tena.

    (GMT+08:00) 2017-05-30 08:45:50
    Chama cha mpira wa kikapu chini Marekani (NBA) pamoja na chama cha wachezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani (NBPA) wametaja makampuni yatakayokuwa sehemu ya NBA Africa Game 2017.

    Hii itakuwa mara ya kwanza kwa mchezo wa NBA unaofanyika Afrika maarufu kama NBA Africa game kuwa na idadi hii kubwa ya wenza washiriki tangu uanze kufanyika.

    Mchezo huu ambao utakuwa wa pili kufanyika Afrika utafanyika siku ya Jumamosi Juni 5, uwanja wa Ticketpro Dome huko Johannesburg, Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako