• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya wajiandaa kwa uzinduzi wa reli ya Mombasa Nairobi

    (GMT+08:00) 2017-05-30 09:28:39

    Reli ya SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi itazinduliwa kesho, uzinduzi utakaohudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta na mjumbe wa taifa wa China Bw Wang Yong.

    Reli hiyo inayotarajiwa kuwa na kasi na salama kwa usafirishaji wa mizigo na abiria, inatajwa kuwa ni alama ya urafiki na ushirikiano kati ya China na Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako