• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Wadau wa Congo na Rwanda wajadili raslimali za ziwa kivu

    (GMT+08:00) 2017-05-30 18:45:08

    Wataalamu wa raslimali za maji kutoka Rwanda na jamhuri ya demokrasia ya Congo na washikadau wameanzisha majadiliano ya kuongeza tija na thamani ya ziwa Kivu.

    Kwenye kongamano kuhusu mto huo,wadau hao wamekubalaiana kubuni mikakati ya kuhakikisha ziwa hilo unakuwa na manufaa zaidi kwa watu.

    Ziwa Kivu limevumbuliwa Megawati 700 za kawi ya umeme inayotarajiwa kuimarisha uchumi wa nchi hizi mbili.

    Mbali na gesi uchunguzi wa awali umeonyesha uwepo wa mafuta katika sehemu za pembeni mwa ziwa hilo.

    Wataalamu hao sasa wanendelea na utafiti wa kuchunguza uwezekano wa kupata madini mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako