• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Serikali yatangaza mpango wa kitaifa wa kuhifadhi fedha

    (GMT+08:00) 2017-05-30 18:45:45

    Serikali ya Rwanda imeanzisha hazina ya kitaifa ya kuhifadhi pesas ama kuweka akiba ili kuwasaidia wananchi kuwekeza katika miaka ya baadae.

    Waziri wa fedha na mipango ya uchumi nchini humo Claver Gatete amependekeza mswada utakaosimamia akiba hizo za wafanyikzai wa sekta ya jua kali.

    Zaidi ya franki biliono 90 zinatarajiwa kukusanya katika awamu ya kwanza, fedha zitakazosaidia katika miradi ya uwekezaji kwa wananchi wa kipato cha chini na wastani.

    Wataalamu wa masuala ya fedha nchini Rwanda wametoa mwito kwa mfumo huo wa kuweka akiba wakisisitiza utawasaidia wananchi kuwa na fedha za kutosha baadae.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako