• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya Sportpesa yaanza kuwa gumzo, Kenya yapania kufanya vizuri

    (GMT+08:00) 2017-05-31 08:34:25
    Michuano ya SportPesa Super Cup, imeanza kuwa gumzo huku Wakenya wakitamba zaidi kuwa wanataka timu yao ichukue ubingwa na kupata nafasi ya kucheza na Everton ya England. Bingwa wa michuano hiyo atapata nafasi ya kucheza na Everton kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Tayari makundi mawili ya SportPesa Super Cup yametangazwa na yatajumuisha timu za Tanzania Bara, Visiwani na Kenya. Timu kutoka Tanzania ambao ni wenyeji ni Simba, Yanga, Singida United na Jang'ombe huku kutoka Kenya ni Gor Mahia, Express na Nakuru All Stars.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako