• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Vijana ya Rolling Stone kuanza Julai Arusha Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-05-31 08:36:22
    Mashindano ya vijana ya Rolling Stones yanatarajiwa kuanza mwezi Julai mwaka huu Arusha nchini Tanzania huku timu mbalimbali zikiita wachezaji wao kwa ajili ya kuanza kambi ka kujiandaa kwa mashindano hayo ambayo husaidia kuinua vipaji vya wachezaji. Rolling Stone ni moja ya academy za soka nchini Tanzania zinazokuza vipaji vya wanasoka vijana ambapo wachezaji wengi wanaochezea vilabu vikubwa nchini humo wametokea katika Academy hiyo ya soka.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako