• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu: Sikuwa nimekunywa pombe asema Tiger Woods

    (GMT+08:00) 2017-05-31 08:36:43
    Mchezaji gofu maarufu duniani Tiger Woods amesema hakuwa amekunywa pombe alipokamatwa akiendesha gari katika jimbo la Florida mapema Jumatatu. Mchezaji huyo alifunguliwa mashtaka ya kuendesha gari akiwa amelewa, lakini amesema ulevi wake ulitokana na dawa alizokuwa amezinywa kwa ushauri wa daktari na kueleza kuwa anafahamu kitendo alichokifanya na anawajibika kikamilifu kwa vitendo vyake. Woods anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji wa mgongo. Kutokana na matatizo yaliyomsibu, alipoteza udhamini kutoka kwa kampuni nyingi na pia alichukua likizo ya kucheza gofu kwa muda.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako