• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Treni ya SGR ya kutoka Mombasa-Nairobi yazinduliwa rasmi

  (GMT+08:00) 2017-05-31 18:19:12

  Treni ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi iliyojengwa na kampuni ya China imezinduliwa rasmi leo na kufanya safari yake ya kwanza, ikiashiria hatua muhimu kwa ujenzi wa utandawazi wa reli kanda ya Afrika Mashariki.

  Sherehe ya uzinduzi ilifanyika kwenye kituo cha magharibi cha reli hiyo mjini Mombasa na kuhudhuriwa na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, naibu wake Bw William Ruto, mjumbe maalumu wa rais Xi Jinping wa China Bw. Wang Yong, na viongozi wengine wa serikali ya Kenya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako