• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) imetoa tahadhari ya kimataifa juu mlipuko wa kimataifa wa virusi ambayo inaathiri samaki Tilapia.

    (GMT+08:00) 2017-05-31 19:58:38

    Wakulima samaki wa Kenya wameonywa juu mlipuko wa kimataifa wa virusi ambayo inaathiri Tilapia.

    Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) imetoa tahadhari ya kimataifa.

    Wizara ya Uvuvi Kenya, hata hivyo, imeonya kuwa wakulima samaki wanaweza pata hasara kutokana na ugonjwa huo, na inaweza kumaliza samaki wote katika bwawa.

    Idara ya Takwimu Kenya, inaonyesha kuwa uzalishaji wa samaki kutoka kwenye madimbwi imeshuka hadi 14,952 mwaka jana kutoka tani 24,096 mwaka 2014.

    Maafisa wa serikali wamelaumu serikali za kaunti kwa kutokuwa makini kwa kilimo cha samaki.

    Karibu sh bilioni 1.2 ilitolewa kwa ajili ya ujenzi wa yalitolewa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya samaki 200 katika kila moja ya wilaya 140.

    Hii ilikuwa na lengo la kujenga ajira 120,000 na kufaida zaidi ya vijana 290,000 kwa njia ya kilimo cha samaki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako