• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester City yatangaza rasmi Jezi zake mpya

    (GMT+08:00) 2017-06-01 09:30:53

    Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imetangaza rasmi Jezi zake mpya zitakazo tumika katika msimu ujao wa ligi wa mwaka 2017/18, klabu hiyo yenye maskani yake Etihad, imeweka hadharani uzi wao utakao tumika katika vikosi vyote, timu ya wakubwa kwa upande wa wanaume na wanawake, timu ya vijana na zile za watoto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako