• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wakulima wa viazi Rwanda wakabiliwa na wadudu

    (GMT+08:00) 2017-06-01 19:02:59

    Wakulima wa viazi katika wilaya za Musanze na Burera kaskazini mwa Rwanda wanaomba msaada wa dharura kukabili wadudu wanaoharibu mimea yao.

    Wakulima wanasema wadudu hao ni pamoja na vipepeo na viwavi wanaokula majani pamoja na wadudu wengine wanaokula viazi kwenye udongo.

    Mkuu wa chama cha wakulima wa viazi nchini humo Vincent Havugimana,amesema wadudu hao pia wamevamia mashamba katika baadhi ya maeneo ya kusini hasa wilaya ya Nyamagabe .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako