• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC: Bunge la Afrika mashariki lapitisha bajeti ya dola milioni $110.1

    (GMT+08:00) 2017-06-01 19:04:06

    Bunge la Afrika mashariki limepitisha bajaeti ya dola milioni $110.1 kwa kipindi cha fedha cha mwaka wa 2017/18.

    Bajeti hiyo ni ongezeko la asilimia 8 kutoka ile ya mwaka jana ambayo ilikuwa ni dola milioni $101.3.

    Vipa umbele kwenye bajeti hii ni miradi ya maendeleo kama vile uwekezaji, biashara, na miundo mbinu.

    Akiwasilisha bajeti hiyo mjini Arusha Tanzania, mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ali Kirunda Kivejinja, alisema pia chini ya bajeti hii wanapania kuwa na mvumo mmoja wa forodhani hasa kwa bidhaa za kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako