• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Limuru Tea yamteua Nicholaos Yiannakis kuwa mkurungezi wake

    (GMT+08:00) 2017-06-01 19:05:45

    Kampuni ya chai Limuru Tea imemteua Nicholaos Yiannakis kuwa mkurungezi na mwenyekiti wake.

    Nicholaos Yiannakis awali akuwa mkurungezi kwenye kampuni ya Unilever Tea Tanzania na anachukua mahali pa Duncan Stickler ambaye anastaafu.

    Sasa akiwa kwenye nafasi yake mpya anatarajiwa kukuza mapato ya kampuni hiyo ambayo mwezi Februari iliwaonya wenye hisa kwamba kutakuwa na upungufu wa faida kwa asilimia 25.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako