• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Dirisha moja la ukusanyaji kodi kuongeza mapato

    (GMT+08:00) 2017-06-01 19:06:09

    Rais wa Tanzania John Magufuli amesema dirisha moja la ukusanyaji kodi kwa njia ya kielektroniki litapunguza matukio ya kukwepa kodi.

    Rais ameyasema hayo leo, wakati akizindua kituo cha ukusanyaji kodi katika ofisi za TTCL, Kijitonyama.

    Alisema lengo la serikali ni kukusanya mapato lakini watu wasiotaka kulipa kodi.

    Pia Rais amesema amefurahi baada ya kutembelea kituo cha ukusanyaji taarifa na kueleza kuwa umuhimu wake ni kukusanya na kulinda taarifa za nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako