• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfumko wa bei nchini Kenya wafika asilimia 11.70

    (GMT+08:00) 2017-06-01 19:06:31

    Mfumko wa bei nchini Kenya umefikia kiwango cha juu zaidi ndani ya miaka 5 hasa kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula.

    Taakwimu zinaonyesha kwamba sasa mfumko wa bei umefikia asilimia 11.70

    Bei ya chakula na vinywaji ilipanda kwa asilimia 1.26 katika miezi ya Aprili na Mei.

    Bei ya unga, maziwa na sukari ndio imekuwa na ongezeko kubwa la bei wakati pia Kenya ikikabiliwa na kiangazi katika miezi ya kwanza ya mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako