• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi zaidi ya milioni 36 vijijini nchini China wanufaika na mpango wa lishe

    (GMT+08:00) 2017-06-02 09:03:30

    Ripoti iliyotolewa na Mfuko wa utafiti wa maendeleo wa China inasema tangu mwishoni mwa mwaka 2011, serikali kuu ya China imetumia dola za kimarekani bilioni 23.3 katika mpango wa kuboresha lishe kwa wanafunzi wa elimu ya lazima vijijini, ambao kwa ujumla umewanufaisha wanafunzi zaidi ya milioni 36. Mpango huo unaotekelezwa kwenye mashule laki 1.34 katika mikoa 29 nchini China, umetajwa kuwa umeboresha kidhahiri hali ya mwili ya wanafunzi kwenye maeneo hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako