• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ni rasmi sasa Saad Kawemba hayupo tena Azam FC

    (GMT+08:00) 2017-06-02 11:20:07

    Baada ya Saad Kawemba kukanusha kuhusiana na tetesi kuwa amefukuzwa kazi ya afisa utendaji Mkuu wa club ya Azam FC, jana habari mpya zimeripotiwa kuhusu CEO huyo.

    Mtandao wa mchambuzi wa habari za michezo Tanzania shaffihdauda.co.tz umeripoti rasmi kuwa Azam FC wameachana na Saad Kawemba kama afisa mtendaji Mkuu wake baada ya mkataba wake kumalizika.

    Azam FC wameachana na Saad Kawemba na kubadili mfumo wa kiutawala, ambapo wamefuta cheo cha CEO na kubaki na cheo cha General Manager lakini pia wamebadili sera yao ya usajili na kuamua kurudi katika mfumo wa kupandisha vipaji kutoka timu B.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako