• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: KCB Rwanda yapata ukuaji wa asilimia 42

    (GMT+08:00) 2017-06-02 19:02:17

    Benki ya KCB Rwanda imepata ukuaji wa faida wa asilimia 42 sawa na franc milioni 908.8 katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na franc Rwf641.8 katika kipindi sawa na hicho mwaka jana.

    Taarifa ya benki hiyo inasema mapato ya oparehesheni yalipanda kwa asilimia 7 huku nazo gharama za uendeshaji zikishuka kwa asilimia 1.4.

    Mapato hayo ya oparehsni yanatokana na shughuli kama vile ada za kuchukua fedha na makato mengine.

    Benki ya KCB ni ya kutoka nchini Kenya lakini ina matawi katika baadhi ya nchi za Afrika mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako