• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wenyeji AFCON 2019 unaipa nafasi tena Serengeti Boys.

    (GMT+08:00) 2017-06-05 08:05:23

    Baada ya Tanzania kukabidhiwa bendera ya CAF siku ya fainali ya michuano ya vijana chini ya miaka 17 nchini Gabon kama ishara ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa miaka 19 mwaka 2019.

    Tanzania inapata nafasi ya kushiriki moja kwa moja michuano hiyo kupitia timu yake ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ya Serengeti Boys.

    Rais wa Shirikisho la soka Tanzania Jamal Malinzi, amesema jitihada zinaanza kufanyika ili kuhakikisha kombe hili linabaki katika ardhi ya Tanzania. Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki michuano hiyo ya Afrika chini ya miaka 17 mwaka huu nchini Gabon, kitakuwa rasmi ndio kikosi cha Ngorongoro Heroes ambacho ni kikosi cha vijana wa umri chini ya miaka 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako