• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jaribio la kisayansi linalosanifiwa na China kufanyika kituo cha anga cha kimataifa ISS

    (GMT+08:00) 2017-06-05 09:06:20

    Vifaa vya jaribio la kisayansi linalosanifiwa na wanasayansi wa China vimepelekwa kwenye kituo cha anga cha kimataifa ISS kwa kutumia roketi aina ya Falcon 9 ya kampuni ya teknolojia ya anga ya Marekani Space X, iliyorushwa Jana asubuhi kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Kennedy jimboni Florida, Marekani. Hilo ni jaribio la kwanza linalosanifiwa na China kufanyika kwenye kituo cha anga cha kimataifa, ambalo limetajwa kuwa ni hatua muhimu ya ushirikiano kati ya China na Marekani kwenye shughuli za anga ya juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako