Kwa mujibu wa makubaliano mawili ya fedha za Umoja wa Ulaya EU iliyo saini na Comesa, sh bilioni 212 itatengwa ili kuwezesha mpango wa biashara na sh bilioni 60 itakwenda kwa wafanyibiashara wa dogo katika sehemu za miapakani.
Mikataba iliyosainiwa wiki iliyopita Lusaka na balozi wa Umoja wa Ulaya EU Zambia na Mwakilishi wa Comesa, Bw Alessandro Mariani, na Katibu Mkuu wa Comesa Sindiso Ngwenya ni sehemu ya Comesa ya Shs bilioni 340b.
Mpango wa kuwezesha biashara unatarajiwa kupunguza gharama za kufanya biashara na kusonga bidhaa katika eneo la Comesa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |