• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: kodi ya juu ya gesi ya kupikia  – Mtendaji wa kampuni ya Vivo asema

    (GMT+08:00) 2017-06-05 20:22:45
    Mtendaji mpya wa kampuni ya Nishati ya Vivo amelalamika kodi ya juu ya gesi ya kupikia (LPG) ambayo imesababisha gharama za juu.

    Bw, Gilbert Assi, kodi ya juu ya gesi ya kupikia Uganda, wiki iliyopita alizungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake na kusema kwamba kodi inaathiri uwezo wa matumizi ya gesi.

    Aidha anasema LPG ni ghali nchini Uganda na wanatarajia kodi hiyo itapunguzwa ili watu zaidi waweze kutumia bidhaa hiyo.

    Utumizi wa makaa mwaka wa 2015 ulibakia kuwa juu kwa ajili ya kupikia nchini Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako