• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Mikopo ya ndani na serikali inatarajiwa kubaki juu mwezi huu

    (GMT+08:00) 2017-06-05 20:23:01
    Nchini Kenya: Mikopo ya ndani na serikali inatarajiwa kubaki juu mwezi huu, wachambuzi wanasema.

    Jumla ya mapato katika miezi 10 ilikuwa sh trilioni 1.563,ripoti ya hivi karibuni ya Mapato Halisi imeonyesha .

    Miezi miwili hadi mwisho wa mwaka wa fedha 2016-17 mwezi Aprili 30, Hazina ya fedha ilkuwa na na pengo la Sh bilioni 491 kutokana na mapato yake mapya ya Sh trilioni 2.054

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako