Kwa mujibu wa Beijing, makubaliano hayo kati ya nchi hizo tatu itapunguza hatari ya kisiasa na kuunganisha uhusiano uliyopotea.
Mwezi Mei tarehe 31, Rais Uhuru Kenyatta alizindua oparesheni ya awamu ya kwanza ya reli ya kati SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi ambayo iligharimu sh bilioni 3.27.
Hapo alitangaza uwezekano wa awamu ya pili kutoka Naivasha hadi Kisumu, ambapo China ina nia ya kupeana mkopo wa dola bilioni 3.6.
Pia inafadhili sehemu ya kutoka Nairobi hadi Naivasha kwa dola bilioni1.5.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |